Idala ya uchungaji ime tupatia funzo juu ya mapokeo ya mitumitume na biblia pengine tumekua tukijiuliza mapokeo ni nini basi Leo kwa namna ya pekee kabisa tumepata bahati ya kujua juu yahilo.
Kujua mafundisho hayo tembelea idala ya uchungaji baraza la maaskofu Tanzania kwakufuata link hiyo
BOFYA kichwa cha maada. Karibuni sana.
Idara ya Uchungaji Baraza la Maaskofu: MAPOKEO YA MITUME NA BIBLIA
Kristuakitabiri ujio ...: MAPOKEO YA MITUME NA BIBLIA Kristu akitabiri ujio wa Roho Mtakatifu, aliwaambia Mitume wake, Ninayo bado mengi ya kuwaambieni, ila kwa sa...
MAMBO YAHUSUYO IMANI BLOG TUNA KUPENDA SANA.
"HURUMA YA MUNGU NIYA MILELE".
No comments:
Post a Comment
"Asante sana kwa maoni yako"